OUR EVENTS

Loading Events

« All Events

  • This event has passed.

Torrents An Exhibition

June 17, 2023 @ 18:00 - 21:30

Nafasi Art Space inayofuraha kuwakaribisheni wote kwenye ufunguzi wa maonyesho ya sanaa za uoni ya pili kwa mwaka huu, yanayoitwa “TORRENTS” (Mikondo). Jiandae kwa safari ya kisanii inayovutia!

Maonyesho ya sanaa za uoni “Torrents” yanalenga kuchunguza uhusiano unaovutia kati ya binadamu, tamaduni, na uzoefu kupitia sanaa kazi zitalenga kudadisi mwingiliano kati ya ubunifu na kuiga, uhalisi na udanganyifu, na uhusiano unaobadilika daima kati ya zamani na sasa.

Karibu ujikumbushe na kufurahia kazi nzuri za wasanii tofauti kutoka Afrika, zote zikiwa zimehamasishwa na mada. Hili ni tukio usilotaka kulikosa! 😉

🗓️ Juni 17, 2023
⏰ Saa 12:30 Jioni | HAKUNA KIINGILIO
📍Nafasi Art Space, Mikocheni B, Dar es Salaam


Nafasi Art Space is happy to welcome everyone to the grand opening of a second group exhibition of the year, titled “TORRENTS.” Get ready to embark on a captivating artistic journey!

The Torrents exhibition aims to dive into the dynamic relationships between people, culture, and experiences. We will explore the interplay of originality and imitation, reality and illusion, and the ever-evolving connection between the past and the present.

Come and immerse yourself in the intriguing works of diverse African artists with diverse experience and thoughts, all inspired by this theme. This is an event you don’t want to miss! 😉

🗓️ June 17, 2023
⏰  6:30 PM till late  | FREE ENTRY
📍Nafasi Art Space, Mikocheni B, Dar es Salaam

Torrents an exhibition is supported in part by a grant from Ignite Culture: ACP-EU Culture Programme (Eastern Africa) as part of Sanaa Pamoja project. This fund is being implemented by HEVA, in partnership with the British Council Kenya with the financial contribution of the European Union, and with further support from the Organisation of ACP (African, Caribbean and Pacific) States. It is part of the global ACP-EU Culture Programme

Nafasi Art Space is supported with core funding from the Embassy of Switzerland in Tanzania and the Royal Norwegian Embassy, and also receives support from our “Friends of Nafasi” Giving Programme and individual donors like you via our Global Giving crowdfunding page.

 

Details

Date:
June 17, 2023
Time:
18:00 - 21:30
Event Category:
Event Tags:
, , , , , , ,

Venue

Nafasi Art Space
Eyasi Road, Mikocheni B
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
+ Google Map
View Venue Website

Organizer

NAFASI
Phone
+255 757 820 426
Email
info@nafasiartspace.org