OUR EVENTS

Loading Events

« All Events

  • This event has passed.

Tukutane Nafasi Launch of 3G

August 8, 2020 @ 18:00 - 23:00

| Free

Tukutane Nafasi Jumamosi ya nanenane kwenye utambulisho wa kikundi kipya cha singeli 3G watatumbuiza nyimbo zao mpya za singeli.Burudani itaambatana na show kali kutoka kwa James Mwigune, Capher Simba na DJ Kwame.Mabaharia wote na mamiss kutoka Buza hii shoo ni ya kwenu njoo ushuhudie viuno vyenye laana
Karibu tufurahi kimtaa zaidi pamoja na marafiki kwani kutakua na Nyama choma, pweza vinywaji na mambo kibao

Mahali: Nafasi Art Space
Muda: saa kumi na mbili jioni mpaka kuendelea

Join us on Saturday August 8,2020 on the launch of new SINGELI collective songs from a singeli group known as 3G. A group of three young and upcoming artists performing popular street music known as “SINGELI” fusion with live performance. The group brings captivating, high-energy, urban African punk, taking audiences to the streets vibes as they blend musicianship, creativity and tradition but most of all catchy lyrics that will make you want to recite and dance every time
Show will be accompanied by performances from James Mwigune, Poet Capher Simba and Dj sessions from Kwame with so many more surprises

Time: 6 PM till late
Venue: Nafasi Art space

FREE ENTRY DONATIONS WILL GLADLY BE ACCEPTED.
Drinks,foods and snacks will be available

Details

Date:
August 8, 2020
Time:
18:00 - 23:00
Cost:
Free
Event Categories:
,
Event Tags:
, , , ,

Venue

Nafasi Art Space
Eyasi Road, Mikocheni B
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
+ Google Map
Website:
nafasiartspace.org