WIKIENDI LIVE 2024 EDITION. A unique two day festival in heart of Dar es Salaam. Only at Nafasi Art Space
Nafasi Art Space inakualika kuhudhuria tamasha letu kubwa la kila mwaka, Wikiendi Live (@wikiendilive ), litakalofanyika tarehe 27 na 28 Septemba 2024. Usikose fursa hii ya kuona wasanii bora wa muziki wakitumbuiza kwenye jukwaa letu kubwa. Karibu wote! 🗓️ 27 … Read More
$3