Torrents An Exhibition
Nafasi Art Space Eyasi Road, Mikocheni B, Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic ofNafasi Art Space inayofuraha kuwakaribisheni wote kwenye ufunguzi wa maonyesho ya sanaa za uoni ya pili kwa mwaka huu, yanayoitwa "TORRENTS" (Mikondo). Jiandae kwa safari ya kisanii inayovutia! Maonyesho ya sanaa za uoni “Torrents” yanalenga kuchunguza uhusiano unaovutia kati ya … Read More