HAKUNA KULALA: Open Call for Artists

Hakuna Kulala: Open Call for Artists

Inspired by Juma Nature’s classic hip-hop anthem “Hakuna Kulala”, we invite visual artists of all kinds to create works inspired by the nighttime hours. What keeps us awake at night? Is it Dar’s nightlife culture or waking dreams of another kind? . What is the beat of the night and the rhythm of the late hours? What spaces, songs, and stories keep our evenings alive? And what keeps us moving between sundown, day to day, hour by hour, place after place, generation after generation?

Kutokana na kuhamasishwa na wimbo mahiri usiohitaji wasifu , utambulisho au maelezo yoyote kutoka kwa msanii Juma Nature, onyesho la “Hakuna Kulala” linatoa mwaliko kwa wachoraji, wapiga picha, wachongaji, waandaaji filamu wengineo kwenye Tasnia ya sanaa za mikono, ufundi au Uoni kuandaa kazi zinazozungumzia masaa ya usiku jijini Dar es Salaam,. Je, kuna taswira zipi nyakati hizo na usiku wa manane? Kuna nafasi zipi, hadithi na mirindimo inayosababisha usiku uwe na uhai? Ni mila zipi zinatusukuma tuwe kwenye michakato saa baada ya saa, miaka na miaka, kizazi hadi kizazi nyakati za usiku wa manane?

Send artwork, statement and bio to
jesse@nafasiartspace.org
to apply

Tuma sanaa, maelezo na wasifu kwa
jesse@nafasiartspace.org kushiliki

Deadline to apply: 10 June 2021
Mwisho wa kupokea maombi: 10 Juni 2021

Exhibition opening dates: 25-27 June with the first edition of Hip Hop Asili Festival