Due to several requests we have received from our beloved art lovers and art practitioners, Nafasi Art Space is excited to announce the extended deadline for receiving applications of the 2023 Feel Free grant.

Apply by 10 April 2023 through the Link on our Instagram Bio.

Visit our website www.nafasiartspace.org for more information about this grant.

_________________________________________________________________

Kutokana na maombi ya wadau mbalimbali wa sanaa, Nafasi Art Space tunayo furaha kuwataarifu kuwa tumeongeza muda wa kutuma maombi ya ruzuku za mradi wa Sanaa Uhuru (Feel Free) kwa mwaka 2023.

Tuma maombi yako kufikia tarehe 10 Aprili 2023 kupitia Link iliyo kwenye Bio yetu ya Instagram.

Tembelea kurasa zetu za kijamii ikiwemo tovuti yetu ya www.nafasiartspace.org kwa taarifa zaidi huhusu mradi huu